omong'oononmngurumo (sauti ya juu mnyama atoayo wakati wa tatizo)warning growl -ng'oona
omong'weemeng'wenmaina ya mti poritype of wild tree
omonyaemenyanm1aina ya mmea utambaao vichakani au kwenye mtitype of creeping plant that climbs up a bush or a tree2kamba itokanayo na mmea huorope made from a particular type of climbing plant
omorongoshaabharongoshanm1mtu mwenye maongezi mazuria good conversationalist2mwelewaintelligent person3mnyooshaji maneno, stadi wa kuelezaa person with the ability to explain things well-rongora