Angalia lugha

a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

g


-garikatnz-geuza (k.m., nguo)turn inside out (e.g., clothes)Garika engibho iyo kwa okubha kwa eguru ni-nkootu.Geuza nguo hiyo kwa kuwa kwa juu ni chafu.Turn that piece of clothing inside out because the outside is dirty.
garyaonyyalethose (over there)-rya2
gativumkatikaticenter, middleekintu kya gati;kitu cha katikati;middle thing
gati yahuskati yain the center of, in the middle of
gatigatielekatikatiin the middle, in between
gavanabhagavananmmtawalaruler
gayoonyhayothese (referential or close to listener)-yo
-geejatnz-katacut
-gegatnz1-bebacarry2-chukuatakeTaata yankeerya ega hanu ndibha omuntu omukuru, ngege obhukangati bhwa mukijiji kyetu.Baba aliniambia kwamba nitakapokuwa mtu mkubwa, nichukue uongozi wa kijiji chetu.Dad told me that when I'm an adult, I should take leadership of our village.3-twaaseize, grab-gega ekitumbi-gega enda-gega eryogo-gega obhumuunyi
-gega ekitumbitnz-chukua kiti (yaani, -kaa)take a seat (i.e., sit down)-gegaekitumbi
-gega endatnz-tunga mimba, -pata mimbabe pregnant-gegaenda2
-gega eryogotnz-chukua dawa, -meza dawatake medicine-gegaeryogo
-gega obhumuunyitnz-chukua likizotake vacation-gegaobhumuunyi
-gegesyatnz-saidia mtu kubeba mzigohelp someone carry a load
-gendatnz1-endago2-tembeawalk3-safiritravel, take a tripAragenda orugendo orutambi.Anasafiri umbali mrefu.She is traveling a long distance.-genda enjira enjomu-gendagenda
-genda bhuseritnz-tembea kwa kiburistrut (i.e., walk proudly)
-genda enjira enjomutnz-fika salama (sis., -enda njia nzuri)travel safely (lit., go a good way)-gendaenjira-jomu 1
-genda kwa okwitajatnz-tembea kwa hatua (sis., -tembea kwa kusimama)walk one step at a time (lit., walk by stopping)
-genda na amagurutnz-tembea kwa miguutravel on foot
-gendagendatnz-zururawander-genda
-gendereratnz-endeleacontinue, go on
-gendereryatnz1-endeleza (-sababisha kitu kiendelee)continue (something)2-endeleza (-boresha kitu)develop
-gendyatnz-endesha (chombo cha usafiri)drive (a vehicle)
-geni1vum-geni (k.m., mgeni, kigeni, n.k.)foreign, strange
-geni2vum-pya (k.m., mpya, kipya, n.k.)new