Browse Kabwa - Swahili - English
h
-hunjukatnz-rudireturn, go backokuhunjuka enyuma;kurudi nyuma;to turn back-hunjukya
-hunjukiratnz1-rudia (tendo)repeat2-rudia (mahali)return to
-hunjukyatnz-rudishareturn (something), give back (something)-hunjuka
-hunjura2tnz1-badilisha (kitu)change (something)2-geuzaturn (something) arounderihunjuro2
-hunkanatnz-fananaresemble each other, look alike
-hunkanʼyatnz-fananishacompare
-hurukyatnz-toa kitu kwa ndani na kuweka njeput outside
-hurukya omwikatnz-toa pumzibreathe out, exhale
-hurumukatnz-kurupukabe startled, be frightened
-hurumukirwa1tnz-vamiwabe attacked
-hurumukirwa2tnz-banwa na mshipa wa ngiriswell (of the scrotum)
-hurunkanʼyatnz1-pitiliza (juu ya kitu)pass over2-pitiliza (kwa ubora)surpass
-hutatiratnz-pa kisogo (au mgongo), -tembea kutoka (sehemu)turn one's back (on someone), walk away
huuingmmm (yaani, mlio wa bundi)hoo (i.e., sound that an owl makes)
-huuhiratnz-pulizia (maji)spew out (water)
-huujahuujatnz-pepea (moto au mtu)fan (a fire or a person)
-huujiriratnz1-puliziapuliziablow on (repeatedly)2-pepea (moto au mtu)fan (a fire or a person)
-huumanatnz-vua samaki (mtu akiwa amesimama majini)fish while wading
-huuratnz1-purathresh (by beating)2-pondacrush
-huuranʼyatnz-chachawa (kwa furaha)be exuberantOmumura uyo yaaja okwigwa ekigomo kijomeri, akaamba okuhuuranʼya murubhanja.Kijana huyo aliposikia sherehe ya tohara imekuwa nzuri, akaanza kuchachawa uwanjani.When that young man heard that the circumcision ceremony had gone well, he began to be exuberant on the dance floor.
-huutatnz1-pulizablow (with the mouth)2-vumablow (of the wind)
-huutiriratnz-puliziablow on (from the mouth)
-hwatnz-isharun out, be finishedAmabheere ganú omwana yaari aranywa, garenda okuhwa.Maziwa aliyokuwa anakunywa mtoto, yanataka kuisha.The milk that the baby was drinking is about to run out.omweya guyó gwahwa