Browse Kabwa - Swahili - English

a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

s


-samburatnz1-rusharusha (k.m., maji)splash2-tawanyaspread
-sandatnz1-shawishicoax, tempt, allure2-tongozaseduce
-sandaryatnz-vua samakifish, go fishing
-sangatnz1wa pamoja, -kusanyikabe together, come together (as a group)Abhantu bhakasanga kumugi hanú bheegwa omukari wa kumugi kuyo arahuhutya.Watu walikusanyika kwenye mji waliposikia mwanamke wa mji huo anapiga yowe.People came together at that house when they heard the woman who lives there yelling for help.2-shirikiparticipate
-sanganʼyatnz1-changanyamix2-changanya (karata)shuffle (cards)
-sangararatnz-sisimka (yaani, kuwa chachu mdomoni)tingle (in one's mouth)Nduuji aroobha erinyembe eribhisi, amate gakasangarara mumunwa.Nimeona anamenya embe bichi, mate yakasisimka mdomoni.I saw him peeling an unripe mango and it tingled in his mouth.
-sangʼayatnz-simangagloat over, mock (someone)
sangʼebhasangʼenmmwenye meno ambayo yametokeza nje ya kinywabucktoothed person
-sangiranʼyatnz1-kutanikameet together2-kusanyikabe gathered together, come together (as a group)Abhantu bhakasangiranʼya hanú bhaaja okwigwa ega omukuru wa ekyaro araaja.Watu walikusanyika waliposikia kwamba raisi anakuja.People came together when they heard that the president was coming.
-sangʼya ameenotnz-gwafuabare one's teetheriino
-sanja1tnz-chafuka kwa tumbohave a stomachache
-sanja2tnz-tokota (k.m., mboga)be boiled, be cooked
-sanjuuryatnz-pogoa (matawi madogo madogo ya miti)prune, trim (small branches off trees)
-sanukatnz-rukaruka (kwa mnyama), -chupa (kwa mnyama)hop around (for an animal), jump around (for an animal)Ekituuju kirasanukanga.Sungura huwa anarukaruka.A rabbit usually hops around.
sanukiramongoamasanukiramongonmvunjajungumantis
-saragatnz1-chanja (na sindano)vaccinate, immunize2-chanja (na wembe au kisu)make an incision (with a razor or a knife)
-sarasaatyatnz1-nyunyizia kidogo kidogosprinkle (a small amount)Sarasaatya amanji munyumba muyo, oruteeri rusuuhe-ko, abhantu bhasohe.Nyunyizia kidogokidogo maji humo ndani ya nyumba, vumbi ipungue, watu waingie.Sprinkle a little water in the house so the dust decreases and people can come in.2-paka kwa juu juutouch up (with paint)Omukonji akasarasaatya erangi kundigi ya enyumba yeetu, akamara, akagya.Fundi akapaka kwa juu juu rangi kwenye ukuta wa nyumba yetu, akamaliza, akaenda.The painter touched up the wall of our house with paint, finished and left.
-sarikatnz1-haribikabe ruined, break2-haribika (mtu)be bad, be evil3-ozaspoil, rot
-sarikirwa omutwetnz-changanyikiwa (sis., -haribikiwa kichwa)be confused (lit., be ruined in the head)
-sariranʼyatnz1-kosanadisagree, quarrel2-haribianaruin one another
-sarya1tnz1-haribu (kitu)destroy-sarya ameetegeerero2-haribu (chakula)spoil (food)3-haribu (mtu kwa jina, tabia, n.k.)ruin (e.g., someone's reputation, character, etc.)4-potezalose, wasteKwaki omukari unu arasarya amaguta ga obhuguri obhunene ego?Kwa nini mwanamke huyu anapoteza mafuta ya bei kubwa hivi?Why is this woman wasting expensive oil like that?
-sarya2tnz-kosamess up, errOni ntaasarya eringʼana ryoryonse eguru ya amaragiriryo ga Abhayahudi.Mimi sikukosa jambo lolote juu ya sheria ya Wayahudi.I haven't erred in anything regarding the Jewish law.
-sarya amaragiriryotnz-vunja sheria (sis., -haribu sheria)break the law (lit., destroy the law)
-sarya ameetegeererotnz1-haribu mawazoshoot down an idea (lit., destroy thoughts)2-haribu mazungumzogo off on a tangent (in a conversation)-sarya1 1eriitegeerero
-sarya eginsonitnz-vunja heshima (kwa mtu)disrespect (someone)