Browse Kabwa - Swahili - English

a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

s


-sinatnz1-kinaibe satiated, be satisfied2-kifusatiate, satisfy
-sindikatnz1-puuza; -tokujaliignore, be indifferent2-telekezaleave behindTaata yaasindika maayi, akamutiga kwa emyaka kenda bira kumutumira kitu kyonsekyonse.Baba alimtelekeza mama, akamwacha kwa miaka tisa bila kumtumia kitu chochote.Father left mother behind and nine years passed without him sending her anything.3-sukumizapush (something) awayOmugeni akaaja hiika, bhakamuhaana ebhyakurya, akaanga okurya, akabhisindika hayo ebhyakurya.Mgeni alikuja nyumbani, wakampa chakula, akakataa kula, akavisukumiza hapo hivyo vyakula.The visitor came to the house and they gave him food. He refused to eat it and pushed it away (from himself).
-sindikiranʼyatnzacha (mtu au kitu) nyuma, -telekezaleave (someone or something) behind, abandonTukagya okuteenya eginkwi na abhaana, kimwi tukabhasindikiranʼya. Niigo twahika hiika, maayi akatukeerya tubhahindire.Tulienda kusenya kuni na watoto, halafu tukawaacha nyuma. Tulipofika nyumbani, mama akatuambia tuwarudie.We went to gather firewood with the children, then we left them behind. When we got back home, mother told us to go back for them.
-sindiriratnz-shindiliaload, put intoNdakusabha osindirire obhutaaga bhuyo mpaka bhwise mwigunira riyo.Nakuomba ushindilie udaga huo mpaka utoshe kwenye hilo gunia.Please put crushed cassava into that sack until it is full.
-singʼaaratnz1-zubaabe clueless, be confused2-shangaabe surpised, be shocked
-singʼiiriryatnz-lazimisha, -fuatilizia (mtu)force, compel (someone)Kwaki oransingʼiirirya, engʼana hiyo ntahigamba.Kwa nini unanilazimisha mimi jambo hilo sikuliseme?Why are you forcing me not to say that?
-singiratnz-sikia njaabe hungry
-singiriratnz-fuatafollowOmwana akasingirira ngʼinawaabho enyuma mpaka mukisima.Mtoto alimfuata mama yake hadi kisimani.The child followed her mother to the well.
-singisatnz1-tikisikabe shaky, be unsteady2-tingishika (kwa jino)be loose (of a tooth)
-singisyatnz1-tikisa, -tingishashake (something)Omwana arasingisya omutwe.Mtoto anatikisa kichwa.The child is shaking her head.2-bembeleza (mtoto mchanga)rock (a baby)
-singuvummahututiserious
-singuuratnz-zungukago around-isinguura
-sininikatnz1-chomekezastick into (something)Sininika omuti guyo mukisaka hayo bhataaja kugurora bhagugege.Chomekeza mti huo kichakani hapo wasije wakauona wauchukue.Stick this tree in the woods so that they don't find it and take it.2-tunza kitu kwa kukipa tahadhari kisije kikaonwaput away
-sinyooratnz-kojoaurinate
-sisatnz-pindatwist
-sisiibha enkorotnz-sikia kichefuchefu (sis., -hisi roho)feel queasy, feel nauseated (lit., feel the spirit)
-sisinyaratnz1-kunja usofrown2-kasirikabe angry
-sobhanatnz-pindamanabe tangled
-sobhogatnz-kanyaga (maji au tope)step into (water or mud)
-sobhooratnz-fafanuaclarify, expound
-sohatnz-ingiaenter
-soheereeratnz-ishi kinyumba nacohabit withTaata akasoheereera omukari unú yanga akwirirwe na omusaaja waaye.Baba aliishi kinyumba na mwanamke ambaye alikuwa amefiwa na mume wake.Father cohabited with a woman whose husband had died.
-sohereeratnz-ingiliaenter in atOmwibhi asohereeri mukiseku kya enyumba erya, yeebha entaari.Mwizi ameingilia mlango wa kule nyuma, akaiba baiskeli.The thief entered in at the door of that house and stole the bicycle.
-sohyatnz-ingizaput into, insert
-somatnz1-soma (kitabu)read2-soma (kwa shule)study