Angalia lugha

a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

t


-tagararatnz-tagaa, -panua miguustraddle, spread one's legs apart
-tagatagatnz-tagaastraddle
-tahatnz1-kumba; -vuta (maji kutoka kwenye mtumbwi)bail out (water from a boat)2-chota (maji), -teka (maji)draw (water)
-tajatnz-kanyagastamp on, step on
-tajuratnz1-kunjuaunwrap2-fundua, -fungua (fundo)untangle, untie (a knot)-tanjura
-takatnz-shtukabe surprised, be startled
-takahatnz-filisikago bankrupt, lose everything
-takunyatnz1-tafuna (chakula)chew2-tafuna (pesa)spend, waste (money)
-takyatnz1-shtukiza, -shituastartle (someone), surprise (someone)2-kuta (mtu au kitu) ghaflacome upon; happen upon (someone or something)
-tama1tnz-bakiremain, stay behind
-tama2tnz1-shinda (kumaliza jambo fulani)complete (a task)2-shinda (katika mashindano)win, defeat, conquerEtimu ya Abhatanjania ekahooya omupira na etimu ya Abhaganda naho Abhaganda bhakatama kwa amagoori gabhiri kwa rimwi.Timu ya Watanzania ilicheza mpira na timu ya Waganda lakini Waganda walishinda kwa magoli mawili kwa moja.The Tanzanian team played soccer against the Ugandan team but the Ugandans won two to one.
-tambivum1-refu (kwenda juu)tallomuntu omutambi;mtu mrefu;a tall person2-refu (kwenda kwa umbali fulani)long (going out a certain distance)orukumu orutambi;ukucha mrefu;a long fingernail3-refu (kwenda chini)deepekisima ekitambi;kisima kirefu;a deep well4-refu (kwa muda)long (in time)orugendo orutambi;mwendo mrefu;a long trip
-tambiharatnz-refukabe tallOmwana uyo yaatambihara gya esewaabho.Mtoto huyo alirefuka kama baba yake.That child got tall like his father.
-tambihyatnz-refushalengthen
-tamwatnz1-shindwa (kumaliza jambo fulani)failYaatamwa okuhagaaja enyumba yaaye.Alishindwa kujenga nyumba yake.He failed to build his house.2-shindwa (katika mashindano)lose (in a competition), be defeatedAkare hayo Abhakabhwa na Abhajita bhakarwana, naho Abhajita bhakatamwa ebhiita bhiyo.Hapo zamani Wakabwa na Wajita walipigana, lakini Wajita walishindwa vita hivyo.A long time ago, the Kabwa people and the Jita people fought, but the Jita people lost that war.
-tamyatnz-saza, -bakizaleave out (something), cause (something) to remain
-tanatnz-tokuwa nalack (i.e., not have)Otana ebhiganʼyo.Hauna mawazo.You don't have any ideas.
-tangaajatnz-tangazaannounce
-tangatiratnz-tanguliaprecede, lead off
-tangayaayatnz-sulika (yaani, -jisikia kizunguzungu)be dizzy
-tanjuratnz1-kunjuaunwrap2-fundua, -fungua (fundo)untangle, untie (a knot)-tajura
-tankanatnz-kosa uhakika (wa kufanya jambo au uamuzi fulani)be uncertain (in doing something or making a decision)
-tankanʼyatnz-tatanisha (mtu)perplex (someone), confuse (someone)Engʼana inú taata yaatukeerya yaatutankanʼya mpaka bhoono tukyaringa okunyoora ensonga ya engʼana iyo.Jambo ambalo baba alituambia lilitutatanisha mpaka leo hii hatujapata maana ya jambo hilo.The thing father told us has perplexed us and even now we haven't understood its meaning.
-tanuratnz-tanua, -panuaexpand, widen
taragwetanmkusinisouth