ahawakwapiwhereOragya aha?Unaenda wapi?Where are you going?
-ahatnz-chuma (mboga za majani)pick (edible greens)
ahaangʼi nahuskaribu na, jirani naclose to, near, next toMasige na Dickson bhareekara ahaangʼi na musyure.Masige na Dickson wanakaa karibu na shule.Masige and Dickson live near the school.
ahagundenmpalipooza (k.m., kwenye tunda)rotten spot (e.g., on a piece of fruit)
-ahukatnz-jitenga (kutoka kitu kingine)separate oneself (from something else)Abhamura niigo bhaahika abhakuru, bhakaahuka kumigi gyabho.Vijana walipofika wakubwa, wakajitenga kwenye miji yao.When the youth reached adulthood, they separated themselves onto their own property.
-ahukanatnz1-tawanyikabe divided2-tenganaseparate from one another, split waysTwahukane! Nyoore oragya orubhaara rwa obhumosi, oni ngye orubhaara rwa obhuryo.Tutengane! Kama unaenda upande wa kushoto, mimi niende upande wa kulia.Let's separate! If you go to the left, I'll go to the right.