-saaganatnz-saza (k.m., chakula)be left over (e.g., food)
-saaguvum-enye kubakiremaining, leftoverEbhyakurya bhinu m-bisaagu, bhitakuhwaho.Chakula hiki ni chenye kubaki, hakiishi.There is leftover food, it isn't gone.
-sabhiratnz1-ombea (mbele ya Mungu)pray for, intercede for2-ombea (kwa niaba ya mwingine)ask on behalf of (someone), beg on behalf of (someone)Mura weetu akansabhira omweya gwa emirimu muhofisi yaabho.Kaka yangu akaniombea nafasi ya kazi kwenye ofisi yao.My brother asked for work for me at their office.3-barikiblessYeesu yaabhakeerya abheehigirya bhaaye ega hanu mureesaasame kutaata weenyu, arabhasabhira bhukongʼu.Yesu aliwambia wanafunzi wake kwamba mkimbembeleza Baba yenu, anawabariki sana.Jesus told his disciples, if you implore your Father, he blesses you a lot.
-sabhuratnz1-pakua (kutoka kitu kingine)unload2-pakua (mboga)dish out (a side dish)Maayi arasabhura ekiriiro mukibhiga.Mama anapakua mboga chunguni.Mother dishes out a side dish from the pot.
-sabhya1tnz-pika kitu bila kukiivishaundercookBhaakeerya Nyangi ateeke eginswi mpaka gihye, naho weeki akagisabhya bhwangubhwangu, akagitegura-ko eginswi, akagya okuhoya na abharikyaye.Walimwambia Nyangi apike samaki hadi ziive, lakini yeye akazipika haraka haraka bila kuziivisha, akaziepua samaki, akaenda kucheza na wenzake.They told Nyangi to cook the fish until they were done, but she undercooked the fish, took them off the fire and went to play with her friends.
-sabhya2tnz-chovyadunk, dip intoHanú naaya kukyara, nkasabhya mumanji naho ekyara kimitite.Nilipoungua kwenye kidole, nikachovya kwenye maji ili kidole kipoe.When I burnt my finger, I dipped it into the water so that it would cool off.
-sagatnz1-jaribu (kufanya jambo)try (to do something)2-jaribu (mtu)test (a person)3-jaribu (chuma)test (metal)