Angalia lugha


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

a


akakoorikooriebhikoorikoorinmdoablemish
akamugaebhimuganmrungu dogosmall knobkerrie
akarenmzamani, kaleantiquity, the past
akare hayoelehapo zamanilong ago
akareraebhireranmmtoto mchangababy
akasemuntaebhisemuntanmkundigroup
akoojiebhyujinmkijitostream
akoonyunmkiasi kidogo cha chumvia pinch of salt
amabhajenm1mtindi (wa maziwa)buttermilk, cream2maziwa mgandoyoghurt, yogurt
amabheerenmmaziwamilk
amabhinmmavifeces
amabhundujonmtetekuwangachicken pox
amacheeranmmachelastretcher
amachenganmchenga (ya chuma)slag (of metal)
amachungwavummachungwaorangeerangi ya amachungwa;rangi ya machungwa;orange painterichungwa
amadingʼininmaina ya mchezo wa ngoma wa asilitype of traditional dance
amafwerenmtakatakagarbage, rubbish
amafwerefwerenmtakatakagarbage, rubbish
amagadinmmagadi (yaani, chumvi ya asili)soda (i.e., natural sodium)
amagendanmmatembeziwalk
amagendereryonmmaendeleodevelopment, progress
amagutanm1mafuta (ya majimaji)oil2mafuta (magumu ya mnyama au mtu)fat
amahaironm1mazungumzoconversation, chat2usemispeech
amaheenenmmakweli (yaani, mambo ya kweli)true things
amahunjukiraanʼyonmmajibizanoargument, discussionEgingʼombe gyarya omugunda gwa Mwajuma. Mwajuma yaaja kuginyoora-mo, bhakaamba amahunjukiraanʼyo ga amangʼana na omuriisya wa egingʼombe.Ng'ombe walikula shamba la Mwajuma. Mwajuma alipowakuta, wakaanza majibizano ya maneno na mchungaji wa ng'ombe.The cows ate up Mwajuma's farm. When Mwajuma found them, he started an argument with the cow herder.