Kabwa - Swahili - English
bh
-bhutura omutwe kt -kata kichwa decapitate
-bhuturabhutura kt -katakata hack at
-bhuuka kt -amka (kutoka usingizini) wake up
-bhuukira-ko kt -amka (kwa kuendelea na kazi fulani) wake up (to continue with some type of work)
-bhuukya kt -amsha wake up (someone)
-bhuuririrya kt 1 -ulizia ask about 2 -peleleza spy on
-bhuurya kt 1 -uliza ask 2 -ambia tell
-bhuuta kt -ua kwa kubanwa mdomo suffocate
-bhuutika kt -vundika be stale, be fermented
-bhuutika omukaate kt -umua mkate leaven bread (dough)
-bhuutya kt -shindwa kupata haja kubwa (kwa mtoto mchanga) be constipated (for a baby)
bhuyaga kl ovyo carelessly, recklessly, randomly
bhuyagayaga kl ovyoovyo carelessly, haphazardly
bhuyo kl jinsi how, the way Bhuyo aringi mbo bhuyo . Jinsi alivyo ndivyo alivyo. The way he is is the way he is.
bhwaheene kl 1 vizuri good, well 2 sawa okay, alright 3 sawa (kwa kufanana au kulingana) equal, the same 4 sawa (bila kupanda au kuteremka) flat Erirobha riri bhwaheene . Ardhi iko sawa . The land is flat .
bhwangu kl 1 haraka, kwa haraka quickly, fast 2 mapema early
bhwangu hanu kl hivi karibuni soon
bhwangubhwangu kl haraka haraka fast, quickly Omwana unu arakiina bhwangubhwangu . Mtoto huyu anakua haraka haraka . This child is growing quickly .
-bhwarya kt -ashiria kuwepo kwa samaki majini show signs of the presence of fish in the water
bhwibhise kl kwa siri, kwa uficho secretly
bhwima kl 1 wima upright okwikara bhwima kukaa wima to sit upright 2 kwa wima vertically -imirira bhwima
-bhwima kt 1 -winda (mnyama) hunt (an animal) 2 -winda (mtu) hunt down (a person)
bhwita bhabhwita nm binti anayepevuka pubescent girl