Kabwa - Swahili - English


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

e


ekiirujiebhiirujinmdalili ya mvua kubwasign that a storm is coming
ekiisekyoebhiisekyonmkichekolaugh
ekiisinmmgwisho wa mkia wa mnyama (kufukuza nzi)fly swatter (made from an animal's tail)
ekiisineereryoebhiisineereryonmkichambio (k.m., karatasi ya toileti)toilet cleanup item (e.g., toilet paper)
ekiitaebhiitanmlango, getigate
ekiitanoebhiitanonmmauajikilling, murder
ekiitiroebhiitironmsilahaweapon
ekijaareebhijaarenmmchanga (mtoto)babyomwana ekijaare;mtoto mchanga;baby
ekijamiebhijaminmaina ya mti poritype of wild tree
ekijeereebhijeerenmaina ya mkukitype of spear
ekijeeriebhijeerinmaina ya ndege mdogotype of small bird
ekijegejeebhijegejenmchemichemispring (of water)
ekijejebhweebhijejebhwenmaina ya mboga ya majani (inayoota kandokando ya mto)type of green leafy vegetable (that grows along a river)
ekijengereebhijengerenmchembearrowhead, spearhead
ekijenjeraebhijenjeranmaina ya mboga ya majanitype of green leafy vegetable
ekijiijiebhijiijinmkizibo (cha chupa)bottle cap
ekijiikoebhijiikonmkijikospoon
ekijijiebhijijinmkijijivillage
ekijingijiebhijingijinmheleniearring
ekijinoebhijinonmaina ya mkukitype of spear
ekijiririebhijiririnmnjugaankle bell
ekijomya enkururanmaina ya mboga ya majanitype of green leafy vegetable
ekijungururyaebhijungururyanmkilembaturban
ekijurinmkichuri (kiungo kinachokamuliwa kutoka kwenye utumbo wa mnyama anayeliwa na kuwekwa kwenye nyama ya kuchoma)bitter sauce that is extracted from the intestines of an animal and served with its grilled meat
ekijurijuriebhijurijurinmperegetype of fish