ekingʼeningʼeniebhingʼeningʼeninmmtoto wa jicho (aina ya ugonjwa wa macho)cataract (eye disease)Hanú oraabhe na ekingʼeningʼeni muriiso otakurora.Utakapokuwa na mtoto wa jicho, hutaona.When you have a cataract, you can't see.
ekingʼorooraebhingʼorooranmaina ya mti jamii ya mgungatype of acacia tree
ekiniiniebhiniininm1kokwa, koko (la tunda)pit, stone (of a piece of fruit)2ng'arange (yaani, kiini cha mti)heartwood (at the center of a tree)3kiini cha yaiyolk (of an egg)
ekinkubhiebhinkubhinmlikuliku (aina ya ndege)African gray hornbill
ekinkuuriebhinkuurinmmuhindi ambao unavunwa lakini haujakomaa (umefubaa baada ya kukoswa mvua ya kutosha)harvested maize that is underdeveloped (due to insufficient rain)
ekinokoebhinokonmunga uliokandwa (kwa kutengenezea pombe)wort (in alcohol production)
ekinokonokoebhinokonokonmpembeni, kona (ya jicho)corner (of the eye)
ekinuunoebhinuunonmndumiko (kifaa kinachotengenezwa kutoka pembe la ng'ombe na kutumika kuvutia damu sehemu yenye maumivu makali)cupping horn (used to remove blood from a painful spot on the body)
ekinyamboosoebhinyamboosonm1kidole cha mwisho (cha mkono)little finger2kidole cha mwisho (cha mguu)little toe