-gumyakt1-shikahold2-tunza (kwa kuangalia)care for (by looking after)3-milikiown
-gundakt1-oza (kwa kitu)rot, decay, spoilEriino rigundiri.Jino limeoza.The tooth has decayed.2-oza (mtu au kitu kuathirika na kutathminiwa vibaya katika jamii)be unpopular (person or thing seen as bad by the community) Esewaabho yaakwa naho yanga agundiri.Baba yao alikufa lakini alikuwa ameoza.Their father died, but he was already unpopular.
gurimukimirogirimukimironmmahututi (sis.,(roho) iko ndani ya koromeo)in critical condition (lit., (the spirit) is in the esophagus)Ngiiri okumurora jaaji musibhitaari, naho n-gurimukimiro.Nimeenda kumwona babu hospitalini, lakini ni mahututi.I went to see my grandfather in the hospital, but he is in critical condition.
-gwatakt1-shikahold, grab2-dakacatch (something)3-kamata (katika tendo fulani)catch (in some act)Omwihigirya yaabhagwata abheehigiri bharoorokan'ya amahunjuro ga amasomo.Mwalimu aliwakamata wanafunzi wanaonyeshana majibu ya mitihani.The teacher caught the students showing each other the answers to the test.4-kamata (mtu)capture5-kamata (kwa kupeleka kifungoni), -bambaarrest-gwatwa na emiyaga
-gwatan'ya1kt1-unganisha, -unganajoin together (two or more things or people), unite (two or more things or people), connect (two or more things or people)2-shikamanastick together3-patanishareconcile (two people or groups)
-gwatan'ya2kt-chonganisha (k.m., magombano)instigate (e.g., an argument); set at odds