-haanyakt-kimbia kwa nguvu kutoka kitu kingine (kwa mnyama), -kimbia kwa haraka kutoka kitu kingine (kwa mnyama)run away quickly from something (for an animal)
-haatirakt1-achia (kitu kwa mtu)bequeath, give to2-achia huru (mtu)set free; release (someone)
-haatira obhukurukt-achia madarakatransfer power (of an official office to someone else)
-haatiriryakt1-telekezaabandon, leave (someone or something) behind2-achilia (kufanya jambo)allow (to do something)3-achilia (kutoka hatiani), -achilia huruacquit, set free
-habhakt-potea, -potoka; -kosa njiabe lost, be led astray, lose directionNawe, kubhantu abhakonu na bhatakumwikirirya Waryubha, ebhintu bhyonsego m-bya omugiro, kwa okubha ameetegerero na emitima gyabho bhyahabha.Lakini, kwa watu wachafu na wasiomwamini Mungu, vitu vyote ni najisi, kwa kuwa fikra zao na nafsi zao zimepotoka.But, to the dirty and those who don't believe God, everything is defiled, since their minds and spirits have been led astray.
-habhaanakt-tofautiana (kimazungumzo au kauli)disagree (about something said)
hagarihagarikvmbalimbali, tofauti tofautivariousAbhageni bhayo mubhatuure ahasi hagarihagari.Wageni hao mwaweke sehemu mbalimbali.You all put the guests in various places.