-kevum1-dogo (kwa ukubwa)small, littleBhinu m-bike bhukongʼu.Hivi ni vidogo sana.These are very small.omukari omuke2-dogo (kwa umri)youngHanú yaamuka, Nuhu akamanya kinú omwana waaye omuke akoreri.Alipoamka, Nuhu akafahamu ambacho mtoto wake mdogo amefanya.When he awoke, Noah realized what his youngest son had done.3-chachefeweriihe rya abhantu abhake;vita vya watu wachache;a fight with only a few peopletaatamuke
-kebhatnz-nyoa manyoya ya kondooshear a sheep's wool
-kerebheruvum-enye kuturustyEkintu kinu n-kikerebheru.Kitu hiki ni chenye kutu.This thing is rusty.
-kerengatnz-kata nyama (kwa njia husika)cut meat (in a specific way)
-kiwak1gani, -pi (k.m., ipi, zipi, n.k.)whichTugende orusiku-ki?Twende siku gani?Which day should we go?2niniwhatAkabha areebhuurya, "Kinú kirandiira amasoori gaani ni-ki?"Akawa anajiuliza, "Ni nini kinachonilia mahindi yangu?"And he asks himself, "What is it that is eating my maize?"kwaki3-je, vipihowAbhantu bhakamubhuurya ega: "Omukungu unu, obheeri-ki?Watu wakamwuliza hivi: "Bibi huyu, umekuwaje?"The people asked her this: "Old woman, how have you been?"egaki
kihanaele1muda mrefu, milelea long time, foreverokugendererya kihana;kuendelea muda mrefu;to continue a long time2sanaa lotokukorwa kihana;kufanywa sana;to be done a lot3kwa kung'ang'aniza, kwa kulazimishaforcefully
kihanyaelekimbio, harakahurriedly, quicklyOmumura urya aragenda kihanya.Kijana yule anatembea haraka.That young man is walking quickly.