Kabwa - Swahili - English


a
b
c
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
o
p
r
s
t
u
w
y

r


-randatnz-tambaa (kwa mmea)creep, crawl (of a plant)
-randiriryatnz-ongea (bila kikomo), -zungumza (bila kituo)chatter (i.e., talk non-stop)
-randuratnz-chanachanatear apart, rip up
-rangaajatnz1-weka juu (mbali)put up (out of reach)Jaaji akankeerya ndangaaje engoye eguru kwidari rya enyumba yaaye.Babu aliniambia niweke kamba juu ya dari la nyumba yake.Grandpa told me to put the rope up on top of the rafters of his house.2-tupa (kitu) kwa juuthrow (something) high up in the airTwanga turariisya egimburi, tukaamba emihooyo gya okurangaaja amagina eguru.Tulikuwa tukichunga mbuzi, tukaanza michezo ya kutupa mawe kwa juu.We were tending the goats and we started a game throwing stones high up in the air.
-rangasiratnz-nukiasmell (good)
-rasa1tnz-choma (mtu au mnyama na mshale), -piga risasishoot (a person or an animal with a weapon)Jaaji yanga agiiri okubhwima egintyenyi gya kibhara, akarasa ekituuju na omusimu.Babu alikuwa ameenda kuwinda wanyama wa porini, akachoma sungura na mshale.Grandpa had gone to hunt animals in the wild and he shot a rabbit with an arrow.
-rasa2tnz-akisi (k.m., mwanga katika kioo)reflect (e.g., light in a mirror)Esyati inu yeebhoheri Segeru erarasa obhurabhu kumubhasu.Shati aliyoivaa Segeru inaakisi mwanga kwenye jua.The shirt that Segeru is wearing reflects light in the sun.
-ratatnz-vizia (katika mawindo)ambush (while hunting an animal)
-rebhatnz-punguadecrease
-rebhevumfulanicertain, specificokunyoora obhurweri obhurebhe;kupata ugonjwa fulani;to get a certain illness
-rebhyatnz-punjacheat
reeronmleotoday
-reetatnz-letabringAmasaaru n-kya gayo garareeta embura.Mawingu kama hayo yanaleta mvua.Clouds like those bring rain.
-reetya1tnz-toa harufusmell, give off a scent
-reetya2tnz1-imbasing2-toa mlio wa mfano wa wimbo (kwa mnyama)sing (i.e., an animal making sounds like a song)
-regatnz-puuza, -dharauignore, disregard
-rehwatnz-lewabe drunk
-rekatnz1-toka, -ondokaleave, go awayMaayi yaamaaha enjoka eringi ahare eraaja, akakeerya abhaana, bhakareka ahasi harya.Mama aliona nyoka iko mbali inakuja, akawambia watoto, wakaondoka sehemu ile.The mother saw the snake coming from far off, told the children and they left that place.2-toka (mwelekeo fulani)come from (a certain direction)Abhageni bhanga bharareka mujini, bharagya oweetu mukijiji.Wageni walikuwa wakitoka mjini, wanaenda kwetu kijijini.The visitors were coming from town, going to our village.
-rekana natnz-tokana nacome from
-rekeratnz1-rusha chinithrow down2-tupa (pembeni)cast aside, toss aside
-rekera ameesotnz-angalia kwa mbali (sis., -rusha macho)gaze into the distance (lit., throw the eyes)
-remayatnz-lemaabe handicapped, be disabled (a person)
-remeyatnz-lemazacripple (someone), disable (someone)
-rendurenduvum-enye kunepanepasagging
-rengatnz1-pimameasure, evaluateOmukari wa Yakobho yaahira omwana waaye musibhitaari okumurenga obhurito bhwaye.Mke wa Yakobo alimpeleka mtoto wake hospitalini kumpima uzito wake.Jacob's wife took her child to the hospital to measure his weight.2-lenga, -piga shabahaaimTaata yanga ararenga okutema omuti kwa obhuta na emisimu.Baba alikuwa analenga kupiga mti kwa upinde na mishale.Father was aiming to hit the tree with his bow and arrows.