rukorugarukorunmkipanga (aina ya mwewe mdogo)sparrowhawk
-rumakt1-uma (-dhuru mtu au mnyama mwingine)bite, stingHamis hanú ararwana na abharikyaye, mpaka abharume.Hamis anapopigana na wenzake, mpaka awaume.When Hamis fights with his friends, he even bites them.2-uma (-pata maumivu)be painful, hurt (of one's body)Enda yaani, hanú bhuhikiri bhutiku eraruma bhukong'u.Tumbo langu, unapofika usiku linauma sana.When night comes, my stomach hurts a lot.
-rumiirira1kt-umwa tumbohave a stomachache, hurt (of the stomach)Enda yaani erarumiirira.Tumbo langu linaumwa.My stomach is hurting.
-rumiirira2kt-umauma (k.m., chakula)nibble on (e.g., food)
-rura1ktkuwa na uchungu (kwa ladha)be bitter (in taste)
-rura2kt1kuwa na ukali (k.m., mtu au mnyama)be severe, be fierce2kuwa na ukali (k.m., pombe)be potent (e.g., alcohol)3kuwa na ukali (k.m., mwanga wa jua)be strong (bright like sunlight)
-ruru1kv-chungubitterObhura m-bururu.Utumbo ni mchungu.Intestines are bitter.
-ruru2kv1-kali (k.m., mtu au mnyama)fierce (e.g., person or animal)2-kali (k.m., pombe)potent (e.g., alcohol)amarwa amarurupombe kalipotent alcohol3-kali (k.m., mwanga wa jua)hot (e.g., mwanga wa sunlight)omubhasu omururujua kalihot sunlight
-ruruujakt-tupathrowAbhaana bhararuruuja abhantu amagina kunjira.Watoto wanatupia watu mawe njiani.The children are throwing stones at people on the path.
-ruryakt-piga mluziwhistle (to get someone's attention)