Kabwa - Swahili - English


a
b
bh
ch
d
e
f
g
h
i
j
k
m
n
ng
ny
o
p
r
s
sh
t
u
w
y

s


-saagakt-bakiremain, stay behind
-saagukv-enye kubakiremaining, leftoverEbhyakurya bhinu m-bisaagu, bhitakuhwaho.Chakula hiki ni chenye kubaki, hakiishi.There is leftover food, it isn't gone.
-saahakt-hara, -harishahave diarrhea
-saamakt1-ogeleaswim2-chezeachezea majiniplay around in the water
-saaranm1-taili (kuhusu jando)instruct (about male initiation)2-tahiricircumcise (a male)
-saarwakt-fanya tohara, -tahiriwabe circumcised
-saasamakt1-bembelezasoothe2-bembeleza (roho)appease3-bembeleza (kwa sifa au kilemba)flatter
-sabhakt1-sali, -omba (kwa Mungu)pray2-sali (-hudhuria ibada ya kanisani)go to (church), worship (at a church)3-omba (kwa mtu)request, ask for
-sabhasabhakt-ombaombabeg
-sabhirakt1-ombea (mbele ya Mungu)pray for, intercede for2-ombea (kwa niaba ya mwingine)ask on behalf of (someone), beg on behalf of (someone)Mura weetu akansabhira omweya gwa emirimu muhofisi yaabho.Kaka yangu akaniombea nafasi ya kazi kwenye ofisi yao.My brother asked for work for me at their office.3-barikiblessYeesu yaabhakeerya abheehigirya bhaaye ega hanu mureesaasame kutaata weenyu, arabhasabhira bhukong'u.Yesu aliwambia wanafunzi wake kwamba mkimbembeleza Baba yenu, anawabariki sana.Jesus told his disciples, if you implore your Father, he blesses you a lot.
-sabhurakt-pakuadish out, unloadMaayi arasabhura ekiriiro mukibhiga.Mama anapakua mboga chunguni.Mother dishes out food from the pot.
-sabhya1kt-pika (kitu bila kukiivisha)undercookBhaakeerya Nyangi ateeke eginswi mpaka gihye, naho weeki akagisabhya bhwangubhwangu, akagitegura-ko eginswi, akagya okuhoya na abharikyaye.Walimwambia Nyangi apike samaki hadi ziive, lakini yeye akazipika haraka haraka bila kuziivisha, akaziepua samaki, akaenda kucheza na wenzake.They told Nyangi to cook the fish until they were done, but she undercooked the fish, took them off the fire and went to play with her friends.
-sabhya2kt-chovyadunk, dip intoHanú naaya kukyara, nkasabhya mumanji naho ekyara kimitite.Nilipoungua kwenye kidole, nikachovya kwenye maji ili kidole kipoe.When I burnt my finger, I dipped it into the water so that it would cool off.
-sagakt1-jaribu (kufanya jambo)try (to do something)2-jaribu (mtu)test (a person)3-jaribu (chuma)test (metal)
-saganakt-saza (k.m., chakula)be left over (e.g., food)
-sagiran'yakt-kusanyikabe gathered together
-sakakt1-nyakuasnatch2-poraplunder
-saka ebhihwikt-katiza (mtu kuongea), -kata (mtu kauli; sis., -nyakua mizimu)cut off (someone from speaking; lit., snatch the spirits)
-sakiryakt-saidiahelp
-sakyakt1-jaribu (kufanya jambo)try (to do something)2-jaribu (mtu)test (a person)3-jaribu (chuma)test (metal)
-samagakt-tifua udongo (kwa ajili ya kupanda)put dirt on top of remains from last harvest (to create new raised beds for planting)-susa
-sambakt1-choma (kwa moto)burn, roast2-unguzaburn, char, scorch
-sambaarukakt1-changamkabe cheerful, be in good spirits2-furahibe happy3-tabasamusmile
-sambekv-a kuchoma (kwa moto)roasted, grilledenyama ensambenyama ya kuchomaroasted meat
-sambikakt-weka (kitu begani)put (something on one's shoulders)