Alfabeti ya Kikabwa
Kuna herufi 27 katika alfabeti ya Kikabwa, kama zifuatazo:
a b bh ch d e f g h i j k m n ng' ny o p r s sh t u v w y z
Sehemu ya kamusi iliyo na maneno ya Kikabwa kwenda kwenye Kiswahili na Kiingereza inafuata mpangilio wa herufi kama ulioonyeshwa hapo juu.