Warsha ya Kukusanya Maneno Mengi Katika Lugha ya Kikabwa ilifanyika Mmazami (Makutano), Mara, Tanzania tarehe 8 hadi 19 ya Juni mwaka wa 2015. Siku tatu za mafunzo zilitokea kabla ya warsha yenyewe. Kazi za kila mshiriki zimefafanuliwa mwishoni mwa ukurasa huu. Watu wafuatao walishiriki katika warsha:
John B. Walker, Mtaalamu wa Mambo ya Kamusi
Oliver Stegen, Mtaalamu Msaidizi
Stiphin Mugasa Oyoga, Meneja Mkuu
Richard Kigi Nyamaru, Meneja wa Uendeshaji
Wenyekiti wa Vikundi:
Willium Joseph Jongore
Joseph Mkurya Masegenya
Yakobo Wambura Mrusha
Raphael Matiku Makangara
Raphael Ebasu Masige
Evance Kwambira Mkobo
Makatibu wa Vikundi:
Moshi Charles James
Ester Evance Mkobo
Yohana Charles Maiga
Petro Marasi Kode
John Nyemaga Nyabitwano
Joseph Mabengo Watirya
Wajumbe wa Vikundi:
Paul Magesa Mkaka
Jacson Manyama Orendi
Daudi Michael Marwa
Joseph Nyabori Onyango
Lucia Ng’anga Gare
Mabau Openda Nyankerenge
Benadeta Kasorogo Somba
Magesa Jeremia Ogada
Laurent Oyoga Mugasa
Magesa Mbago Kasobe
Elizabeti Wankyo Marira
Sarah Mnyerwe Magesa
Makarani:
Sasi Mabere Masanje
Anthon Juma Nyamuhanga
Ronit Odom
Michiel Louter
Rebekah Overton
John Raphael Masige
Watafsiri:
Nkomanji King'anye Mtanke
Charles Segeru Tahinye
Boniface Muyanga Miriro
Juma Gazeti Kinene
Maria Nyangi Manumbu
Charles Masatu Sasi
Meneja Mkuu – kupanga kwa warsha na kuhakikisha mafanikio yake
Meneja wa Uendeshaji – kuhakikisha kwamba shughuli za warsha zinaendelea bila shida yoyote
Mwenyekiti – kuongoza kikundi na kueleza mambo kuhusu maswali juu ya maeneo yote ya maana
Katibu – kuandika kila neno la kilugha linalotajwa na kikundi
Mjumbe – kusaidia kutaja maneno ya kilugha katika kila eneo la maana
Karani – kuingiza kila neno na tafsiri yake katika kompyuta
Mtafsiri – kutafsiri kila neno la kilugha kwenye lugha ya Kiswahili