herufuNG51letter(s)Herufu zino zawandikika.These letters are writable.Sibatizwa herufu ya maa.I've been branded with the letter M.Herufu ni alama za sauti.Letters are symbols for sounds.See: alternate pronunciation: harufu.2alphabet(s)Didaha herufu za Chisuwahili.I know the Swahili alphabet.3word(s)Mwalimu kaighefa herufu ino.The teacher has misspelled this word.4lesson(s)Ninkha herufu zangu, mwalimu!Give me my lessons, teacher!