hadisi ~ hadithi< ArbNG51story (-ies)Hadisi za Wazigula ziwandikiswa ma mabuku.The stories of Kiziguans have been written a lot in books.Mwalimu wangu anunga niwandike hadisi mbiri kwa mara umwenga hambwe?My teacher wants me to write two stories at the same time?Hadisi zino zisanwa ni baba.These stories have been created by grandpa.Hadithi yangu naitaipiyanywe ni wantru watatu.My story will be typed by three people together.Hadithi za baba yauga kutaipiywa.Grandpa's stories need to be typed.2tale(s)Baba nakanigambira hadisi kila mara.Grandpa was telling me tales all the time.Hadisi ino ilongwa ni baba.This tale has been narrated by grandfather.3history (-ies)Nachakula hadisi ya Wazigula niimanye mpaka kundani.I'm researching the history of Kiziguans to know it profoundly.Hadisi ino ichakuzwa ni Sehondo na Zawadi.This history has been researched by Sehondo and Zawadi.Tate katogola kugamirisa wanawe hadisi za kale.Dad likes to tell his children ancient histories.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *