Shukrani

 

Warsha ya Kukusanya Maneno Mengi Katika Lugha ya Ki... ilifanyika ... tarehe ... hadi ... ya .... mwaka wa .... Siku tatu za mafunzo zilitokea kabla ya warsha yenyewe. Kazi za kila mshiriki zimefafanuliwa mwishoni mwa ukurasa huu. Watu wafuatao walishiriki katika warsha:

 

..., Mtaalamu wa Mambo ya Kamusi

..., Meneja Mkuu

..., Meneja wa Uendeshaji

 

Wenyekiti wa Vikundi:

...

...

...

...

...

...

 

Makatibu wa Vikundi:

...

...

...

...

...

...

 

Wajumbe wa Vikundi:

...

...

...

...

...

...

...

...

...

...

...

...

 

Makarani:

...

...

...

...

...

...

 

Watafsiri:

...

...

...

...

...

...

 

Meneja Mkuu – kupanga kwa warsha na kuhakikisha mafanikio yake

Meneja wa Uendeshaji – kuhakikisha kwamba shughuli za warsha zinaendelea bila shida yoyote

Mwenyekiti – kuongoza kikundi na kueleza mambo kuhusu maswali juu ya maeneo yote ya maana

Katibu – kuandika kila neno la kilugha linalotajwa na kikundi

Mjumbe – kusaidia kutaja maneno ya kilugha katika kila eneo la maana

Karani – kuingiza kila neno na tafsiri yake katika kompyuta

Mtafsiri – kutafsiri kila neno la kilugha kwenye lugha ya Kiswahili